Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


: عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: « كُلُّ سُلاَمَى مِنَ النَّاسِ علَيْهِ صدَقةٌ كُلَّ يَوْمٍ تَطْلُعُ فيه الشَّمْسُ : تعدِلُ بيْن الاثْنَيْنِ صدَقَةٌ ، وتُعِينُ الرَّجُلَ في دابَّتِهِ ، فَتحْمِلُهُ عَلَيْهَا ، أوْ ترْفَعُ لَهُ علَيْهَا متَاعَهُ صدقةٌ ، والكلمةُ الطَّيِّبةُ صدَقةٌ، وبِكُلِّ خَطْوَةٍ تمْشِيها إلى الصَّلاَةِ صدقَةٌ ، وَتُميطُ الأذَى عَن الطرِيق صَدَقةٌ »   متفق عليه

   ورواه مسلم أيضاً من رواية عائشة رضي اللَّه عنها قالت : قال رسُول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: « إنَّهُ خُلِقَ كُلُّ إنْسانٍ مِنْ بني آدم علَى سِتِّينَ وثلاثمائَةِ مَفْصِلٍ ، فَمنْ كَبَّر اللَّه ، وحمِدَ اللَّه ، وَهَلَّلَ اللَّه ، وسبَّحَ اللَّه واستَغْفَر اللَّه ، وعَزلَ حَجراً عنْ طَرِيقِ النَّاسِ أوْ شَوْكَةً أوْ عظْماً عن طَرِيقِ النَّاسِ ، أوْ أمر بمعرُوفٍ أوْ نهى عنْ مُنْكَرٍ ، عَددَ السِّتِّينَ والثَّلاَثمائة ، فَإِنَّهُ يُمْسي يَوْمئِذٍ وَقَد زَحزحَ نفْسَهُ عنِ النَّارِ »


Kutoka Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Viungo vyote vya wana Adamu vinawajibia kutoa sadaka kwa kila siku inapochomozewa na jua. Kusuluhisha kwa uadilifu baina ya watu wawili ni sadaka. Kumsaidia mtu juu ya mnyama wake ukampandisha au ukamnyanyulia mzigo wake ni sadaka, kuongea neno zuri ni sadaka, kila hatua unayoipiga kwenda Msikitini ni sadaka na kuondoa takataka njani ni sadaka.]    [Imepokewa n Al-Bukhari na Muslim]

Vile vile Muslim ameipokea Hadith hii kutoka katika riwaaya ya ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Mtume  amesema: [Hakika kila mwana Adamu ameumbwa kwa viungo (vilivyotengana) mia tatu na sitini, atakayemtukuza Mwenyezi Mungu (kwa kusema Allaahu Akbar), na akamhimidi Mwenyezi Mungu (kwa kusema AlhamduliLLaah), na akampwekesha Mwenyezi Mungu (kwa kusema laa ilaaha illa-Allaah) na akamsabih Mwenyezi Mungu (kwa kusema Subhaana Allaah), na akamuomba Mwenyezi Mungu msamaha (kwa kusema Astaghfiru-Allaah), akaondoa jiwe katika njia wanayopita watu, au akaamrisha mema na kukataza maovu kwa hiyo idadi ya mia tatu na sitini, hakika siku hiyo atafikwa na jioni haliyakuwa ameepushwa na moto.]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6573009
TodayToday1076
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 43

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286e3e128404757565731747480126
title_68286e3e129357721190521747480126
title_68286e3e12a1d10310887031747480126

NISHATI ZA OFISI

title_68286e3e146b313407984561747480126
title_68286e3e147ba5603873231747480126
title_68286e3e28de718021239711747480126 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com