BUSTANI YA WATU WEMA
: عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه عن النَبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « منْ غدَا إلى المَسْجِدِ أو رَاحَ ، أعدَّ اللَّهُ لَهُ في الجنَّةِ نُزُلاً كُلَّمَا غَدا أوْ رَاحَ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Anayekwenda Msikitini asubuhi au jioni, Mwenyezi Mungu Humuandalia takrima Peponi kila anapokwenda, Asubuhi au jioni.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1027 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.