BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه ، عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «أعْذَرَ اللَّهُ إلى امْرِىءٍ أخَّرَ أجلَه حتى بلَغَ سِتِّينَ سنةً » رواه البخارى
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Mwenyezi Mungu Hakumbakishia udhuru mtu Aliyemuakhirishia Ajali yake hata akafikia umri wa miaka sitini.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 985 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.