Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه  أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال يوم خيْبر: «لأعطِينَّ هذِهِ الراية رجُلا يُحبُّ اللَّه ورسُوله، يفتَح اللَّه عَلَى يديهِ» قال عمر رضي اللَّهُ عنه: ما أَحببْت الإِمارة إلاَّ يومئذٍ فتساورْتُ لهَا رجَاءَ أَنْ أُدْعى لهَا، فدعا رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عليَ بن أبي طالب، رضي اللَّه عنه، فأَعْطَاه إِيَّاها، وقالَ: «امش ولا تلْتَفتْ حتَّى يَفتح اللَّه عليكَ» فَسار عليٌّ شيئاً، ثُمَّ وقف ولم يلْتفتْ، فصرخ: يا رسول اللَّه، على ماذَا أُقاتل النَّاس؟ قال: «قاتلْهُمْ حتَّى يشْهدوا أَنْ لا إله إلاَّ اللَّه، وأَنَّ مُحمَّداً رسول اللَّه، فَإِذا فعلوا ذلك فقدْ منعوا منْك دماءَهُمْ وأَموالهُمْ إلاَّ بحَقِّها، وحِسابُهُمْ على اللَّهِ»     رواه مسلم

  «فَتَساورْت» هو بالسِّين المهملة: أَيْ وثبت مُتطلِّعاً


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume ﷺ :Alisema siku ya Vita vya Khaybar: [Kwa hakika nitampa mtu bendera hii  anayempenda Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, Mwenyezi Mungu Ataleta ushindi kwa sababu yake.] ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake anasema: Sikuwahi kuupenda uongozi isipokuwa siku hiyo. Mtume ﷺ akamuita ‘Ali bin Abiy Twaalib, akampa bendera ile. Akamwambia: [Nenda wala usigeuke mpaka Mwenyezi Mungu Akupe ushindi.” ‘Ali akatembea kidogo. Kisha akasimama wala hakugeuka nyuma, akauliza kwa sauti ya juu: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, nipigane na watu juu ya nini? Akamwambia: [Pigana nao mpaka washuhudie kuwa hapana Mola apasae kuabudiwa wa haki ispokuwa Mwenyezi Mungu, na Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Wakifanya hivyo, wameshahifadhika kutokana na nawe katika damu zao na mali yao ila kwa haki yake, na hisabu yao ipo kwa Mwenyezi Mungu.]   [Imepokewa na Muslim ]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 114

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e173adf664332098551791549811
title_6ac8e173adfb714304749911791549811
title_6ac8e173ae0053858542831791549811

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e173ae5db10440013581791549811
title_6ac8e173ae6292009792061791549811
title_6ac8e173ae6743568575941791549811 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com