Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « بادروا بالأَعْمال سبعاً، هل تَنتَظرونَ إلاَّ فقراً مُنسياً، أَوْ غنيٌ مُطْغياً، أَوْ مرضاً مُفسداً، أَو هرماً مُفْنداً أَو موتاً مُجهزاً أَوِ الدَّجَّال فشرُّ غَائب يُنتَظر، أَوِ السَّاعة فالسَّاعةُ أَدْهى وأَمر،»    رواه الترمذي وقال: حديثٌ حسن


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume ﷺ amesema: [Zikimbilieni ‘amali njema kabla haijawafikia mambo saba. Je, mnangoja mpaka mfikwe na ufukara wenye kusahaulisha, au utajiri unaopoteza, au maradhi yenye kufisidi, au uzee uletao udhaifu wa akili, au mauti ya ghafla, au Dajjaal ambaye ndio kiumbe muovu asiyepaswa kusubiriwa, au Kiyama, na Kiyama ndio chenye balaa kubwa na uchungu mwingi zaidi!]     [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema Hadiyth hii ni Hasan]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 108

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e19095c411380620851791549840
title_6ac8e19095c962091324971791549840
title_6ac8e19095ceb9601163231791549840

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1909632a15613713161791549840
title_6ac8e1909637a9656379581791549840
title_6ac8e190963c91776795431791549840 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com