Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عَنْ أبي هريرة رضي اللَّه عنه أن رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « بادِروا بالأعْمالِ الصَّالِحةِ ، فستكونُ فِتَنٌ كقطَعِ اللَّيلِ الْمُظْلمِ يُصبحُ الرجُلُ مُؤمناً ويُمْسِي كافراً ، ويُمسِي مُؤْمناً ويُصبحُ كافراً ، يبيع دينه بعَرَضٍ من الدُّنْيا»     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Zikimbilieni ‘amali njema, kwani zitakuja fitna (nyingi) kama mfano wa usiku wa kiza. Mtu atapambaukiwa akiwa ni Muumini na anaingiliwa na Jioni akiwa amekuwa kafiri,na anaingiliwa na Jioni akiwa ni Muumini  na atapambaukiwa akiwa kafiri, anaiuza Dini yake kwa thamani ndogo ya dunia.]    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668249
TodayToday937
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 12

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866cafe5250913181031541751567102
title_6866cafe525e17673120021751567102
title_6866cafe526ba13983467631751567102

NISHATI ZA OFISI

title_6866cafe5398e14933196811751567102
title_6866cafe53a5a14278092781751567102
title_6866cafe53b2a4264221281751567102 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 14 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com