BUSTANI YA WATU WEMA
قال اللَّه تعالى : {فَاسْتَبِقُوا الْخَيْرَاتِ ۚ} البقرة:148
133:وقال تعالى :{وَسَارِعُوا إِلَىٰ مَغْفِرَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ وَجَنَّةٍ عَرْضُهَا السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ أُعِدَّتْ لِلْمُتَّقِينَ } آل عمران
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Basi shindanieni mema] [Sura Al-Baqara:148]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni mbingu na ardhi, iliyo wekwa tayari kwa wachamngu,.] [Suurat Al 'Imran:133]
Sikiliza Sherehe ya Mlango huu na Sheikh Salim Khatib
![]() | Today | 1205 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.