BUSTANI YA WATU WEMA
وعَنْ أَنسٍ رضي اللَّه عنه قال : سَمِعْتُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ : « إنَّ اللَّه عَزَّ وجَلَّ قَالَ : إِذَا ابْتَلَيْتُ عَبدِي بحبيبتَيْهِ فَصبَرَ عَوَّضْتُهُ مِنْهُمَا الْجنَّةَ » يُريدُ عينيْه ، رواه البخاريُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Nilimsiki Mtume ﷺ akisema: “Hakika Mwenyezi Mungu ﷻ Amesema: [Nitakapomuonda mja Wangu kwa kukosa vipenzi vyake na akasubiri, Nitambadilishia Pepo badala yake.] [Imepokewa na Bukhari]
akikusudia macho mawili
![]() | Today | 876 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.