Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعنْ عطاءِ بْن أَبي رَباحٍ قالَ : قالَ لِي ابْنُ عبَّاسٍ رضي اللَّهُ عنهُمَا ألا أريكَ امْرَأَةً مِن أَهْلِ الجَنَّة ؟ فَقُلت : بلَى ، قَالَ : هذِهِ المْرأَةُ السوْداءُ أَتَتِ النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقالَتْ : إِنِّي أُصْرَعُ ، وإِنِّي أَتكَشَّفُ ، فَادْعُ اللَّه تعالى لِي قَالَ : « إِن شئْتِ صَبَرْتِ ولكِ الْجنَّةُ، وإِنْ شِئْتِ دعَوْتُ اللَّه تَعالَى أَنْ يُعافِيَكِ » فقَالتْ : أَصْبرُ ، فَقالت : إِنِّي أَتَكشَّفُ ، فَادْعُ اللَّه أَنْ لا أَتكشَّفَ ، فَدَعَا لَهَا .  متَّفقٌ عليْهِ


ترجمة عطاء بن أبي رباح



1شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



2شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Kutoka kwa ‘Atwaa bin Abiy Rabaah amesema: ’Abdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yao aliniambia: Je, nikuonyeshe mwanamke ambae ni katika watu wa Peponi?” Nikwambia: kwanini? Akasema “Ni huyu mwanamke mweusi, alimuendea Mtume  na kamwambia: “Mimi nina kifafa na huwa nafichulika wazi (sehemu za siri kinaponijia), niombee Mwenyezi Mungu (anipoze).” Akamwambia: [Ukitaka subiri na uingie Peponi na ukitaka nitamuomba Mwenyezi Mungu Akuponye.] Akasema: “Nitasubiri lakini mimi nafichulika wazi basi niombee Mwenyezi Mungu nisifichulike wazi (nisitirike nguo isinifunuke).” (Mtume ﷺ) Akamuombea.     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668239
TodayToday927
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 32

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c764d455310267011401751566180
title_6866c764d46446349341191751566180
title_6866c764d472d8948717831751566180

NISHATI ZA OFISI

title_6866c764d5d217569551671751566180
title_6866c764d5e0612027847291751566180
title_6866c764d5ee49933630701751566180 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 6 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com