Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


{قال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اصْبِرُوا وَصَابِرُوا

 

{قال اللَّه تعالى: {وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوْفِ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الْأَمْوَالِ وَالْأَنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ ۗ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ

 

{وقال تعالى :  {إِنَّمَا يُوَفَّى الصَّابِرُونَ أَجْرَهُم بِغَيْرِ حِسَابٍ

 

{وقال تعالى : {وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الْأُمُورِ

 

{وقال تعالى {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ

 

{وقال تعالى  {وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ حَتَّىٰ نَعْلَمَ الْمُجَاهِدِينَ مِنكُمْ وَالصَّابِرِينَ وَنَبْلُوَ أَخْبَارَكُمْ


 مقدمة والتعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى



Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Subirini, na shindaneni kusubiri,]      [Suurat Al 'Imran:200]

 Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri]      [Al-Baqara:155]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu.]       [Azzumar:10]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.]    [Ash-shuura:43]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Takeni msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanao subiri.]    [Al-Baqara:153]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na bila ya shaka tutakujaribuni mpaka tuwadhihirishe wapignao Jihadi katika nyinyi na wanao subiri. Nasi tutazifanyia mtihani khabari zenu.]       [Muh'ammad:31]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668161
TodayToday849
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 9

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866b8f60dfb0417022811751562486
title_6866b8f60e09020881867881751562486
title_6866b8f60e15c21349124931751562486

NISHATI ZA OFISI

title_6866b8f60f53417152952091751562486
title_6866b8f60f60e10856134941751562486
title_6866b8f60f6e220241644031751562486 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 10 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com