Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن أبي مَالِكٍ الْحَارِثِ بْنِ عَاصِم الأشْعريِّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « الطُّهُورُ شَطْرُ الإِيمَان ، وَالْحَمْدُ للَّه تَمْلأَ الْميزانَ وسُبْحَانَ الله والحَمْدُ للَّه تَمْلآنِ أَوْ تَمْلأ مَا بَيْنَ السَّموَات وَالأَرْضِ وَالصَّلاَةِ نورٌ ، والصَّدَقَةُ بُرْهَانٌ ، وَالصَّبْرُ ضِيَاءٌ ، والْقُرْآنُ حُجَّةُ لَكَ أَوْ عَلَيْكَ . كُلُّ النَّاس يَغْدُو، فَبِائِعٌ نَفْسَهُ فمُعْتِقُها ، أَوْ مُوبِقُهَا»     رواه مسلم


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى






Kutoka kwa Abuu Maalik, Al-Haarith bin ‘Aaswim Al-Ash’ariy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Udhu ni nusu ya Imani, (na kusema:) AlhamduliLLaah hujaza mizani, (na kusema) Subhaana Allaah wal-HamduliLLaah hujaza baina ya mbingu na ardhi, na Swala ni nuru, na Sadaka ni hoja, na Subira ni mwangaza na Qur'ani ni hoja ya kukuokoa au kukuangamiza. Kila mtu huifanyia ‘amali nafsi yake, kuna mwenye kujiuza, mwenye kujiacha huru au mwenye kujiangamiza.]      [Imepokewa na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668190
TodayToday878
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 23

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c024e163f19308474231751564324
title_6866c024e171d4402162131751564324
title_6866c024e180019752065531751564324

NISHATI ZA OFISI

title_6866c024e2f7a20147589171751564324
title_6866c024e306010962541821751564324
title_6866c024e314120115794181751564324 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 2 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com