Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أم المؤمنين أم عبد الله عائشة رضي الله عنها قالت: قال رسول الله صلي الله عليه وسلم: [يغزو جيش الكعبة فإذا كانوا ببيداء من الأرض يخسف بأولهم وآخرهم] قالت: يا رسول الله، كيف تخسف بأولهم وآخرهموفيهم اسوافهم، ومن ليس منهم؟ قال: [يخسف بأولهم وآخرهم ثم يبعثون على نياتهم]     متفق عليه   هذا لفظ البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Kutoka kwa Mama wa Waumuni, Aisha  Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume: [ Jeshi litataka kuivamia Al Kaaba,Litakapofika katika Ardhi ya jangwa,wote wataangamizwa] Aisha radhi za Allah ziwe juu yake akauliza Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu,Vipi waangamizwe na miongoni mwao muna raia na ambao hawakuwa miongoni mwao? (Mtume ) Akasema (kumjibu): [Wote wataangamizwa kisha watafufuliwa kulingana na nia zao"]  [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668217
TodayToday905
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 32

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c3ba3e4368108646021751565242
title_6866c3ba3e5191005288951751565242
title_6866c3ba3e5fe17506873571751565242

NISHATI ZA OFISI

title_6866c3ba3fb8c5599417081751565242
title_6866c3ba3fc674604115651751565242
title_6866c3ba3fd2d17614835831751565242 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com