Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


[وعن عائشة - رضي الله عنها- قالت: قال النبي صلي الله عليه وسلم [لا هجرة بعد الفتح ولكن جهاد ونبة وإذا استفرتم فانفروا

متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 Kutoka kwa bibi, Aisha  Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume ﷺ: [ Hakutakuwa tena na Hijra baada ya kukombolewa mji wa Makkah, lakini ni Jihadi na Nia (Yaani mtu afanye matendo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu) na mukitakiwa mutoke mwende kupigana jihadi (na kiongozi wa Kiisalmu) basi tokeni mwende jihadi]  [Imepokelewa na Bukhari na Muslim].


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM 



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668241
TodayToday929
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 39

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c764d455310267011401751566180
title_6866c764d46446349341191751566180
title_6866c764d472d8948717831751566180

NISHATI ZA OFISI

title_6866c764d5d217569551671751566180
title_6866c764d5e0612027847291751566180
title_6866c764d5ee49933630701751566180 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com