Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أمير المؤمنين أبي حفص عمر بن الخطاب بن نفيل بن عبد العزي بن رباح بن عبد الله بن قرط بن رزاح بن عدي بن كعب بن لؤس بن غالب القرشي العدوي ـ رضي الله عنه ـ قال: سمعت رسول الله صلي الله عليه وسلم يقول: [إنما الأعمال بالنيات وإنما لكل امري ما نوي فمن كانت هجرته إلي الله ورسوله، فهجرته إلي الله ورسوله، ومن كانت هجرته لدنيا يصيبها، أو امرأة ينكحها، فهجرته إلي ما هاجر إليه] ؛

متفق على صحته؛ رواه إماما المحدثين: أبو عبد الله محمد بن إسماعيل بن إبراهيم ابن المغيرة بن بردزبة الجعفي البخاري، وأبو الحسين

مسلم بن الحجاج ابن مسلم القشيري النيساوي ـ رضي الله عنهما ـ في صحيحيهما اللذين هما اصح الكتب المصنفة


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله




Kutoka kwa Amiri wa Waumuni, Abu Hafs ‘Umar Ibn Al Khattaab Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake ambaye alisema : Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu Rehma na Amani ziwe juu yake akisema:

"Hakika kuswihi kwa amali huzingatiwa nia. na Hakika kila mtu atalipwa kwa alilonuwia, ambae kugura kwake ni  kwa ajili ya Mwenyezi Mungu  na Mtume wake, basi kugura kwake itakuwa ni kwa ajili ya Mwenyzi Mungu na Mtume wake., na yule ambae kugura kwake ni kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kumuoa mwanamke (Fulani) basi kugura kwake itakuwa ni kwa aliloliendea ".

Imesimuliwa na Maimam wawili mabingwa wa hadithi Abu Abdalla Muhammad Ibn Ismail Ibn Ibrahim Ibn Mughiyra Ibn Bardizbah Al Bukhari na Abu Al Husayn Muslim Ibn Al-Hajjaj Ibn Muslim Al Qushayri An-Naysaburi, katika sahihi zao mbili ambavyo ni vitabu vya kutegemewa.


 SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM 



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572833
TodayToday900
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 31

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286729bb65e14701711191747478313
title_68286729bb82a7431667881747478313
title_68286729bb98310186285071747478313

NISHATI ZA OFISI

title_6828672eec34e17561711831747478318
title_6828672eec4e13856137841747478318
title_6828672eec63816670373131747478318 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com