Menu

الحديث السابع عشر


Annawawiy1


“إن الله كتب الإحسان على كل شيء”

عن أبي يَعْلَى شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ رضي اللهُ عنه، عن رسولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم قال: [إنَّ اللهَ كَتَبَ الإِحْسانَ على كلِّ شَيءٍ، فإذا قَتَلْتُمْ فَأَحْسِنُوا الْقِتْلَةَ، وَإذَا ذَبَحْتُمْ فَأَحْسِنُوا الذِّبْحَةَ، ولْيُحِدَّ أَحَدُكُمْ شَفْرَتَهُ ولْيُرِحْ ذَبيحَتَهُ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 17


KUWAHURUMIA WANYAMA


Kutoka kwa Abu Ya’ala Shaddad Ibn Aws Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema: Mtume ﷺ kasema:

[Hakika Mweyezi Mungu ameandika  wema katika kila kitu. Kwa hiyo unapoua (mnyama), ua vizuri na unapochinja chinja vizuri. Basi kila mmoja wenu anoe kisu chake barabara (anapotaka kuchinja) na amuondoshee machungu (asimtese) yule mnyama anayemchinja.]

[Imepokelewa na Muslim]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511958
TodayToday816
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 34

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_678665a8e4a655274670031736861096
title_678665a8e4b4a14739096301736861096
title_678665a8e4c2b14129282981736861096

NISHATI ZA OFISI

title_678665a8f01cd19828860501736861096
title_678665a8f02b12293374811736861096
title_678665a8f03917372275011736861096 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com