الحديث السادس عشر
” لا تغضب”
عن أبي هُرَيْرَةَ رضي اللهُ عنه أنَّ رَجُلاً قال لِلنَّبِّي صلى الله عليه وسلم: أَوصِني، قالَ
[لا تَغْضَبْ]، فَرَدَّدَ مِرَاراً، قال: [لا تَغْضَبْ]
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 16
KUKATAZWA KUKASIRIKA
Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema:
Kwamba Mtu alimwambia Mtume ﷺ Niusie: “akamwambia [usikasirike] yule mtu akakariri tena (ombi lake) mara nyingi, na (Mtume ﷺ ) akamwambia [usikasirike.]
[Imepokewa na Bukhari]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB
Today | 785 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.