الحديث الثامن عشر
“اتق الله حيثما كنت”
عن أبي ذَرٍّ جُنْدُب بِن جُنَادَة، وأبي عبد الرحمن مُعَاذ بِن جَبَلٍ رضي الله عنهما، عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: [اتَّقِ اللهَ حَيْثُما كنْتَ، وأَتْبِعِ السَّيئةَ الحسنةَ تَمْحُها، وخالقِ الناسَ بخُلُقٍ حسنٍ
رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَقَالَ: حَدِيثٌ حَسَنٌ، وَفِي بَعْضِ النُّسَخِ: حَسَنٌ صَحِيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 18
KUWA NA TABIA NJEMA
Kutoka kwa Abu Dharr Jundub Ibn Junaada na Abu Abdur Rahmaan
Mu’adh Ibn Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao ambao wamemnukuu Mtume ﷺ akisema:
[Muogope Mwenyezi Mungu popote pale ulipo na fuatisha kitendo kibaya kwa kitendo kizuri kitafuta na utangamane na watu kwa tabia mzuri.]
[Imepokelewa na At-Tirmidhi na kasema kuwa ni hadithi Hasan na katika maandiko mengine imesemwa kuwa ni Hasan Sahihi]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB
Today | 828 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.