الحديث الخامس عشر
“من كان يؤمن بالله واليوم الآخر فليقل خيرا”
عن أبي هُرَيْرَةَ رضي الله عنهُ: أنَّ رسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم قال : [مَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيَقُل خَيْراً أَوْ لِيَصْمُتْ، ومَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ جارَهُ، ومَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ ضَيْفَهُ
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 15
KUWAKIRIMU WAGENI
Kutoka kwa Abu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema: Kasema Mtume ﷺ [Aliyekuwa amemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya ya Mwisho aseme (maneno ya) kheri, au anyamaze, na yule anaemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya ya Mwisho awe Mkarimu kwa jirani yake, na yule anaemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya Mwisho amkirimu mgeni wake.]
[Imepokewa na Bukhaariy na Muslim]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB
Today | 798 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.