Menu

الحديث الرابع عشر


Annawawiy1


” لا يحل دم امريء مسلم إلا بإحدى ثلاث”

عن ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [لاَ يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ إلاّ بإحْدَى ثَلاَثٍ: الثَّيِّبُ الزَّاني، وَالنَّفْسُ بالنّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِيِنِهِ الْمُفَارِقُ لِلْجَماعَةِ

رَوَاهُ الْبُخَارِيّ وَمُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



  HADITHI YA 14


 DAMU YA MUISLAMU ISIMWAGWE ISIPOKUWA KWA SABABU TATU


Kutoka kwa Ibn Mas’ud Radhi za Allah ziwe juu yake ambae alisema: Mtume ﷺ kasema :[Damu ya Muislamu haiwezi kwa haki kumwagwa isipokuwa katika hali tatu: Mzinzi Muolewa (Mtu mzima aliyeoa/olewa), uhai kwa uhai (nafsi kwa nafsi) na kwa yule anaewacha dini na akajifarikisha na jamaa (kundi).]

[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim].


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6785507
TodayToday508
Highest 07-17-2025 : 4917
US
Guests 31

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68a98fb749eac19585245311755942839
title_68a98fb749fa912203850161755942839
title_68a98fb74a09319110417461755942839

NISHATI ZA OFISI

title_68a98fb74d9605821471001755942839
title_68a98fb74da5c17044642991755942839
title_68a98fb74db3b13656295111755942839 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com