الحديث الثالث عشر
“لا يؤمن أحدكم حتى يحب لأخيه ما يحب لنفسه”
عن أبي حَمْزَةَ أَنسِ بنِ مالكٍ رضي اللهُ عنه خادِمِ رسولِ الله صلى الله عليه وسلم , عَنِ النَّبِي صلى الله عليه وسلم قال : [لا يُؤمِنُ أحَدُكُمْ حتى يُحِبَّ لأخِيهِ ما يُحِبُّ لِنَفْسِهِ
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 13
HATOAMINI MMOJAWENU…
Kutoka kwa Abu Hamza Anas Ibn Malik Radhi za Allah ziwe juu yake mtumishi wa Mtume ﷺ alisema kwamba Mtume ﷺ kasema:
[Haamini mmoja wenu (kikwelikweli) mpaka atakapompendelea ndugu yake kile anachojipendelea nafsi yake.]
[Imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim]
Today | 781 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.