الحديث الثاني عشر
“من حسن إسلام المرء”
[عن أبي هُرَيْرَةَ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [مِنْ حُسْنِ إسْلاَمِ الْمَرْءِ تَرْكُهُ مَا لاَ يَعْنِيهِ
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ ،وَ غَيره هكذا
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA12
MUISLAMU MZURI
Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema: “Kasema Mtume ﷺ [Moja ya sifa nzuri za Muislamu ni kutoshughulika na yale yasiyomuhusu.]
Hadithi iliyo katika daraja ya Hasan (nzuri inayokubalika) [Imepokelewa na At-Tirmidhiy na wengineo.]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB
Today | 811 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.