الحديث الحادي عشر
” دع ما يريبك إلى ما لا يريبك”
عَنْ أَبي مُحمَّدٍ الحسَنِ بْنِ عليّ بْنِ أبي طَالِب، سِبْطِ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم وَرَيْحَانَتِهِ رضيَ اللهُ عنهُما، قالَ: حَفِظْتُ مِنْ رَسُولِ الله صلى الله عليه وسلم: [دَعْ ما يَرِيبُكَ إلى مَا لاَ يَرِيُبكَ
.رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَالنَّسَائِيُّ وَقَالَ التِّرْمِذِيُّ: حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله
HADITHI YA 11
WACHA KILE KINACHOKUTIA SHAKA UFUATE KILE
KISICHOKUTIA SHAKA
Kutoka kwa Abu Muhammad Al-Hasan Ibn ‘Ali Ibn Abi Twaalib mjukuu wa Mtume Rehma na amani ziwe juu jake na kipenzi chake Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao alisema :
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume Rehma na amani ziwe juu yake maneno haya: [Wacha kile kinachokutia shaka ufuate kile kisichokutia shaka.]
[Imepokelewa na At-Tirmidhi na An-Nasai, At-Tirmidhi akisema kuwa ni hadithi Hasan na Sahihi.]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA USTADH MUHAMMAD RAJAB
Today | 778 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.