Menu

الحديث العاشر


 Annawawiy1


“إن الله طيب لا يقبل إلا طيبا”

عن أبي هُرَيْرَةَ رَضي اللهُ عنه قال: قاَل رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم : [إنَ الله تعالى طَيِّبٌ لا يَقْبَلُ إلا طَيِّباً، وإنَّ الله أَمَرَ المُؤمِنينَ بِمَا أَمَرَ بِهِ المُرْسَلينَ فقال تعالى: {يا أَيُّها الرُّسُلُ كُلُوا مِنَ الطَّيَّباتِ واعمَلُوا صالحاً}  وقال تعالى: {يا أَيُّها الَّذِينَ آمَنُوا كلُوا مِنْ طَيِّباتِ ما رَزَقْناكُمْ}  ثُمَّ ذَكَرَ الرَّجُلَ يُطِيلُ السَّفَرَ أشْعَثَ أَغْبَرَ يَمُدُّ يَدَيْهِ إلى السَّماءِ يا رَبُّ يا رَبُّ، ومَطْعَمُهُ حَرَامٌ، ومَشْربُهُ حَرَامٌ، وَمَلْبَسُهُ حَرَامٌ وغُذِّيَ بالحَرَامِ، فأَنَّى يُسْتَجَابُ لهُ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA10


KUHIMIZA KUTUMA TUMO LA HALALI .


Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema: Amesema Mtume Rehma na amani ziwe juu yake,

[Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwema na hakubali ila kilicho chema tu.

Na hakika Mwenyezi Mungu ameamrisha Waumini kufanya yale aliyowaamrisha Mitume, na Yeye Alie tukuka kasema “Enyi Mitume Kuleni katika vitu vyema na mfanye yaliyo sawa” . Mwenyezi Mungu alie tukuka akasema :” Enyi mlioamini kuleni katika vitu vyema ambavyo tumekuruzukuni” Kisha akataja (kisa cha yule) mtu aliyesafiri safari ndefu, kachafuka na kajaa mavumbi na huku anayanyua mikono yake mbinguni akisema “Ewe Mola! Ewe Mola! Nipe kadhaa, nikinge na kadhaa wakati chakula chake cha haramu, na kinywaji chake ni cha haramu, na kivazi chake ni cha haramu, na anashibishwa na haramu, je, vipi atajibiwa (dua zake?)]

[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA USTADH MUHAMMAD RAJAB



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6573435
TodayToday1502
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 42

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68288e790512a3612422601747488377
title_68288e79052108846642661747488377
title_68288e79052ed7914277511747488377

NISHATI ZA OFISI

title_68288e791270a18930440401747488377
title_68288e791283e21241198101747488377
title_68288e791296a15261746601747488377 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com