Menu

KINGA YA MUISLAMU


 tawaba


 

[ قال رسول الله صلى الله عيه وسلم :[ والله إني لاستغفر الله وأتوب إليه في اليوم أكثر من سبعين مرة

 البخاري مع الفتح 11/101

Amesema Mtume [Naapa kwa Mwenyezi Mungu  hakika mimi ninamtaka msamaha Mwenyezi Mungu  na ninatubia kwake katika kila siku zaidi ya mara sabini.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

 

[ وقال صلى الله عيه وسلم :[ يا أيها الناس توبوا إلى الله فإني أتوب في اليوم إليه مائة مرةً

مسلم 4/2076

Mtume  amesema: [Enyi watu tubieni kwa Mwenyezi Mungu  kwani mimi ninatubia kwake kwa siku mara mia.]       [Imepokewa Muslim.]

 

[وقال صلى الله عيه وسلم :[ من قال أستغفر الله العظيم الذي لا إله إلا هو الحي القيوم وأتوب إليه ، غفر الله لهُ وإن كان فر من الزحف

أخرجه أبو داود 2/85 والترمذي 5/569 والحاكم وصححه ووافقه الذهبي

Amesema Mtume ﷺ  yoyote anaesema :

[Namuomba msamaha Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye hapana mola apasae kuabudiwa kwahaki ila Yeye, aliye Hai aliyesimama kwa dhati yake, na ninarejea kwake.]       Mwenyezi Mungu atamsamehe hata kama ana makosa ya kukimbia vitani.     [Imepokewa na abuu Daud na  Al-Ttirmidhiy na Al-Haakim.]

 

[ وقال صلى الله عيه وسلم :[ أقرب ما يكون الربُّ من العبد في جوف الليل الآخر فإن استطعت أن تكون ممن يذكر الله في تلك الساعة فكن

أخرجه الترمذي والنسائي 1/279 والحاكم

Na Amesema Mtume  [Wakati anaokuwa mja na Mola wake wako karibu zaidi ni katika nusu ya mwisho wa usiku.  Ukiweza kuwa miongoni mwa wanaomtaja  Mwenyezi Mungu  kwa wakati huo basi kuwa]         [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Al-Nnasaai na Al-Haakim.]

 

[وقال صلى الله عيه وسلم :[ أقرب ما يكون العبد من ربه وهو ساجد فأكثروا الدعاء

مسلم 1/350 

Na Mtume  amesema:  [Sehemu ambayo anakuwa mja yuko karibu mno na Mola wake ni wakati amesujudu, basi zidisheni dua wakati huo.]      [Imepokewa na Muslim.]

 

[وقال صلى الله عيه وسلم :[ إنه ليغان على قلبي وإني لاستغفرُ الله في اليوم مائة مرة

 أخرجه مسلم 4/2075

Na Mtume amesema: [Huwa nimesahaulishwa kumtaja Mwenyezi Mungu  na hakika mimi ninamuomba msamaha Mwenyezi Mungu  mara mia kwa siku.]     [Imepokewa na Muslim.]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6669062
TodayToday199
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 30

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6867787c0c2a116096740201751611516
title_6867787c0c38b13605906481751611516
title_6867787c0c46d17246893271751611516

NISHATI ZA OFISI

title_6867787c0d9f616313147771751611516
title_6867787c0dadb5874727141751611516
title_6867787c0dbbb265975451751611516 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com