ANACHOSEMA KWA AJILI YA KURUDISHA(KUZUWIA) VITIMBI VYA MASHETANI WABAYA
أعوذ بكلمات الله التامات التي لا يجاوزهن بر ولا فاجر من شر ما خلق ، وبرأ وذرأ ومن شر ما ينزل من السماء ، ومن شر ما يعرج فيها ، ومن شر ما ذرأ في الأرض ، ومن شر ما يخرج منها ، ومن شر فتن الليل والنهار ، ومن شر كل طارق إلا طارقاً يطرق بخير يا رحمن
أحمد 3/419 بإسناد صحيح وابن السني برقم 637
[Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyokamilika ambayo hayapiti mwema wala muovu, na shari ya alicho kiumba, na akakitengeneza na kukianzisha. Na shari ya kinachoteremka kutoka mbinguni na shari ya kinachopanda huko, na shari ya kinachosambaa ardhini na shari ya inayotoka ndani yake na shari ya fitna za usiku na za mchana na shari ya kila anayegonga usiku ila anayegonga kwa kheri Ewe Mwingi wa Rehma.] [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Sunniy]
ANACHOSEMA KWA AJILI YA KURUDISHA(KUZUWIA) VITIMBI VYA MASHETANI WABAYA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.