ANACHOSEMA WAKATI WA KUCHINJA
بسم الله والله أكبر [ اللهم منك ولك ] اللهم تقبل مني
مسلم 3/1557 والبيهقي 9/287
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu huyu (mnyama) anatoka kwako na niwako, Ewe Mwenyezi Mungu nitakabalie (nikubalie).] [Imepokewa na Muslim na Al-Bayhaqiy.]
ANACHOSEMA WAKATI WA KUCHINJA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.