DUA YA SIKU YA ARAFAH
Bora ya dua ni dua ya siku ya Arafah,na bora ya niliyosema mimi na Mitume kabla yangu ni
لا إله إلا الله وحدهُ لا شريك لهُ ، لهُ الملكُ ولهُ الحمدُ وهو على كل شيء قدير
الترمذي وحسنه الألباني في صحيح الترمذي
[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake, hana mshirika wake, ni wake Ufalme na ni zake sifa njema, naye juu ya kila kitu ni Muweza] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na kuhasinishwa na Al-Baaniy.]
DUA YA SIKU YA ARAFAH
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.