DUA INAYOSOMWA BAINA YA NGUZO YA YEMEN NA HAJAR AL ASWAD (KATIKA AL KAABAH)
Alikuwa Mtume ﷺ akisema baina yake:
{ رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ}
[Ewe Mwenyezi Mungu tupe katika dunia hii wema na katika akhera wema na utukinge na adhabu ya moto.] [Imepokewa na Abuu Daud na Ahmad na Al-Baghawiy.]
DUA INAYOSOMWA BAINA YA NGUZO YA YEMEN NA HAJAR AL ASWAD (KATIKA AL KAABAH)
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.