TAKBIRA ATAKAPOFIKA KATIKA HAJARUL AL-ASWAD
Mtume ﷺ alitufu (kuzunguka Al-Kaabah) juu ya ngamia, kila anapofika katika Hajrat-Aswad (Jiwe jeusi) alikuwa anaashiria kwa fimbo yake na kusema:
[اللهُ أكْبَر]
[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa] [Imepokewa na Bukhari.]
TAKBIRA ATAKAPOFIKA KATIKA HAJARUL AL-ASWAD
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.