KINGA YA MUISLAMU
Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayra amemiskia Mtume ﷺ akisema:
اللهُمَّ فأَيُّمَا مُؤْمِنٍ سَبَبْتُهُ فَاجْعَلْ ذَلِكَ لهُ قُرْبةً إليكَ يَوْمَ القِيَامةِ
[Ewe Mwenyezi Mungu kwa Muislamu yoyote yule niliyemtukana basi fanya kwa hilo litakaemkurubisha kwako (ni thawabu kwake) siku ya Kiyama.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
DUA UNAYOMUOMBEA ULIYEMTUKANA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.