KINGA YA MUISLAMU
Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema: "Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:
[اللهُ أَكْـبَر]
[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]
Na tukishuka tunasema:
[سُبْـحانَ الله]
Ametakasika Mwenyezi Mungu
[imepokewa na Bukhari]
SIKILIZA DUA HII
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.