KINGA YA MUISLAMU
[ أستودع الله دينك وأمانتك ،وخواتيم عملك ]
أحمد 2/7 الترمذي5/499
[Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.] [Imepokewa na Ahmad na Al-Ttirmidhiy.]
[ زوَّدك الله التقوى، وغفر ذْنبك ويسَّر لك الخير حيث ما كنت ]
الترمذي وانظر صحيح الترمذي3/ 155
[Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]
DUA YA WAKAAZI WANAYOMUOMBEA ANAE SAFIRI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.