DUA YA KUCHUKIA NDEGE MBAYA
[ اللهم لا طير إلا طيرك ، ولا خير إلا خيرك ،ولا إله غيرك ]
أحمد 2/220 وابن السني برقم 292 وصححه الألباني
[Ewe Mwenyezi Mungu hapana ndege mbaya ila ndege wako, na hapana kheri ila kheri yako, na hapana apasae kuabudiwa kwa haki asiekuwa Wewe] [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Sunniy na kusahihishwa na Al-Baaniy.]
DUA YA KUCHUKIA NDEGE MBAYA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.