DUA YA WAKATI MTU AMEKASIRIKA
[ أعوذ بالله من الشيطان الرجيم ]
البخاري 6/99 ومسلم4/2015
[Najilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shetani aliyeepushwa na kuwekwa mbali na rehema za Mwenyezi Mungu] [Imepokea na Bukhari na Muslim.]
DUA YA WAKATI MTU AMEKASIRIKA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.