DUA KABLA YA KUJIMAI (KUMUINGILIA MKEO)
[ بسم الله ، اللهم جنبنا الشيطان وجنب الشيطان ما رزقتنا ]
البخاري 6/141 ومسلم 2/1028
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na shetani, na muepushe shetani na ulicho turuzuku] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
SIKILIZA DUA KABLA YA KUJIMAI (KUMUINGILIA MKEO)
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.