KINGA YA MUISLAMU
السلام عليكم أهل الديار ، من المؤمنين والمسلمين، وإنا إن شاء الله بكم لاحقون [ ويرحم الله المُستقدمين منا والمستأخرين ] أسأل الله لنا ولكم العافية
مسلم2/671 ،وابن ماجه واللفظ له 1/494
[Amani ishuke juu yenu watu wa nyumba za waumini na waislamu, nasi apendapo Mwenyezi Mungu tutakutana nanyi, tunamuomba Mwenyezi Mungu atusamehe, sisi na nyinyi. [Na Mwenyezi Mungu awarehemu wa mwanzo na wa mwisho] namuomba Mwenyezi Mungu atupe sisi nanyi afya njema.] [Imepokewa na Muslim na Ibnu Maajah.]
DUA YA KUZURU MAKABURI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.