KINGA YA MUISLAMU
[ اللهم إني أسألك خيرها ، وأعوذ بك من شرها ]
أخرجه أبو داود 4/326وابن ماجه 2/1228
[Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba kheri ya upepo huu, na najikinga kwako na shari yake.] [Imepokewa na Abuu Daud na Ibnu Maajah.]
[ اللهم إني أسألك خيرها ، وخير ما فيها ، وخير ما أُرسلت به ، وأعوذ بك من شرها وشر ما فيها وشر ما أرسلت به ]
مسلم 2/616 والبخاري 4/76
[Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba kheri yake na kheri ya kilicho ndani yake, na kheri ya uliyoituma ndani yake, na najikinga kwako kutokana na shari yake na shari iliyoko ndani yake na shari iliyotumwa nao.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
DUA YA UPEPO MKALI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.