KINGA YA MUISLAMU
Imepokelewa na Ali Bin Abi Twalib amesema: nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akisema : [Mtu anapomtembelea ndugu yake Muislamu mgonjwa basi hutembelea katika bustani ya peponi mpaka atakapoketi, naanapoketi hufunikwa na rehma ikiwa ni asubuhi wanamtakia rehma malaika sabini elfu mpaka jioni na ikiwa ni jioni wanamtakia rehma malaika sabini elfu mpaka asubuhi.] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Ibnu Maajah na Ahmad.]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.