KINGA YA MUISLAMU
Mambo yafuatayo yanatakiwa kufuatwa pindi anapotolewa shetani:
[الاستعاذة بالله منه]
أبو داود 1/206 والترمذي
[Kumuomba Mwenyezi Mungu akuhifadhi nae] [Imepokewa na Abuu Daud.]
[ الأذان ]
مسلم 1/ 291 والبخاري 1/151
Kumuadhinia. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
[ الأذكار وقراءة القرآن ]
[Kusoma nyiradi zilizopokewa kutoka kwa Mtume ï·º nakusoma Qur’ani.
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeï·º zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.