KINGA YA MUISLAMU
[ ما من عبدٍ يذنب ذنباً فيحسن الطهور ، ثم يقوم فيصلي ركعتين ، ثم يستغفر الله إلا غفر الله لهُ ]
أبو داود 2/86 والترمذي 2/257 وصححه الألباني
[Hakuna mja yeyote yule anaefanya dhambi kisha akatawadha vizuri na akaswali rakaa mbili, kisha akamtaka Mwenyezi Mungu msamaha ila atasamehewa] [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy na kusahihishwa na Al-Baaniy]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.