KINGA YA MUISLAMU
[ لا إله إلا الله الواحد القهار، ربُّ السموات والأرض وما بينهما العزيز الغفار ]
[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja Alieshinda, Mola wa mbingu na ardhi na vilivyo kati yake, Aliyetukuka Mwingi wa Msamaha] [Imepokewa na Haakim na Al-Nnasaai]
DUA UNAPOJIGEUZA USINGIZINI USIKU
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.