KINGA YA MUISLAMU
[ أعوذ بكلمات الله التَّامَّة من غضبه وعقابه، وشر عباده، ومن همزات الشياطين وأنْ يحضرون ]
أبو داود 4/12 نظر صحيح الترمذي3/ 171
[Najilinda na maneno ya Mwenyezi Mungu yaliotimia kutokana na hasira zake na adhabu yake na shari ya waja wake na vioja vya mashetani na kunijia kwao.] [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy.]
SIKILIZA DUA YA WASIWASI USINGIZINI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.