KINGA YA MUISLAMU
[ بسم الله ولجنا ،وبسم الله خرجنا ، وعلى ربنا توكلنا ، ثم ليسلم على أهله ]
أخرجه أبو داود 4/ 325
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea" Kisha asalimie watu walio ndani] [Imepokewa na Abuu Daud]
SIKILIA DUA YA KUINGIA NYUMBANI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.