KINGA YA MUISLAMU
[ بسم الله ، توكَّلْتُ على الله ، ولا حَوْلَ ولا قُوةَ إلا بالله]
أبو داود 4/ 325 والترمذي 5/ 490 وانظر صحيح الترمذي3/ 151
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka) ninamtegemea Mwenyezi Mungu,na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mungu.] [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy].
[اللهُمَ إني أعُوذُ بِكَ أن أَضِلَّ أوْ أُضَلَّ أَوْ أزِلَّ، أو أُزَلَّ، أوْ أظلِم أوْ أُظْلَم، أوْ أَجْهَلَ أوْ يُجْهَلَ عَلَيَّ]
أهل السنن وانظر صحيح الترمذي 3/ 152 وصحيح ابن ماجه 2/ 336
[Ewe Mwenyezi Mwenyezi Mungu najilinda kwako kutokamana na kupotea au kupoteza,au kuteleza au kumtelezesha mtu,au kudhulumu au kudhulumiwa,au kuwa mjinga au kufanywa mjinga.] [Imepokewa na Al-Tirmidhiy na Ibnu Maajah na wengineo kwenye vitabu vya Hadithi.]
SIKILIZA DUA YA KUTOKA NYUMBANI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.