Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشة رضي اللَّه عنها قالت : سمِع رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم صَوْتَ خُصُومٍ بالْبَابِ عَالِيةٍ أَصْواتُهُمَا ، وَإِذَا أَحَدُهُمَا يَسْتَوْضِعُ الآخَرَ وَيَسْتَرْفِقُهُ فِي شيءٍ ، وَهُوَ يَقُولُ : واللَّهِ لا أَفعَلُ ، فَخَرَجَ عَلَيْهِمَا رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقال : « أَيْنَ الْمُتَأَلِّي عَلَى اللَّه لا يَفْعَلُ المَعْرُوفَ ؟ » فقال : أَنَا يَا رسولَ اللَّهِ ، فَلهُ أَيُّ ذلِكَ أَحَبَّ .  متفقٌ عليه


Kutoka kwa Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Mtume  Alisikia sauti ya watu wakiteta Mlangoni wakiwa wamenyanyua sauti zao, Mmojawao alikuwa akimwomba mwenzie ampukunguzie (deni) na adai kwa upole, naye mwengine akisema "Wallahi sifanyi" : Mtume ﷺ  Akawatokea na akawauliza  [Ni yupi aliyeapa kwa jina la Mwenyzi Mungu kuwa hatafanya wema?]  Akasema: ni mimi Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu nimempa khiyari afanye analopenda    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572977
TodayToday1044
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 40

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286e3e128404757565731747480126
title_68286e3e129357721190521747480126
title_68286e3e12a1d10310887031747480126

NISHATI ZA OFISI

title_68286e3e146b313407984561747480126
title_68286e3e147ba5603873231747480126
title_68286e3e28de718021239711747480126 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 2 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com