Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أُمِّ كُلْثُومٍ بنتِ عُقْبَةَ بن أَبي مُعَيْطٍ رضي اللَّه عنها قالت : سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « لَيْسَ الْكَذَّابُ الذي يُصْلحُ بَيْنَ النَّاسِ فَيَنْمي خَيْراً ، أَوْ يَقُولُ خَيْراً »      متفق عليه

وفي رواية مسلمٍ زيادة ، قالت : وَلَمْ أَسْمَعْهُ يُرَخِّصُ في شَيْءٍ مِمَّا يَقُولُهُ النَّاسُ إِلاَّ في ثَلاثٍ، تَعْنِي : الحَرْبَ ، وَالإِصْلاَحَ بَيْنَ النَّاسِ ، وَحَدِيثَ الرَّجُلِ امْرَأَتَهُ ، وَحَديثَ المَرْأَةِ زَوْجَهَ


Kutoka kwa Ummu Khalthum bin Uqbah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Akisema:  [Hajasema uongo yule mwenye kusuluhisha baina ya watu ukawa unasambaza (habari ya) Kheri, au anasema Kheri]  [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika riwaya ya Muslim muna ziada inayosema Akasema: [Wala sikumsikia akiruhusu chochote katika uongo wanaosema watu isipokuwa katika mambo matatu] Yaani katika Vita kusuluhisha baina ya watu, mwanamume kuzungumza na Mkewe na mke kuzungumza na Mumewe


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 122

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1441a8ad2021954691791549764
title_6ac8e1441a8fc12910065871791549764
title_6ac8e1441a94816458775281791549764

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1441af329134341211791549764
title_6ac8e1441af907660665621791549764
title_6ac8e1441aff320722071421791549764 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 14 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com