BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى : {َمَّن يَشْفَعْ شَفَاعَةً حَسَنَةً يَكُن لَّهُ نَصِيبٌ مِّنْهَا
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Mwenye kusaidia msaada mwema ana fungu lake katika hayo] [An-Nisaai: 85]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 872 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.