Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «المُسْلِمُ أَخُو الْمُسْلِم لا يخُونُه ولا يكْذِبُهُ ولا يخْذُلُهُ ، كُلُّ الْمُسْلِمِ عَلَى الْمُسْلِمِ حرامٌ عِرْضُهُ ومالُه ودمُهُ التَّقْوَى هَاهُنا ، بِحسْبِ امْرِىءٍ مِنَ الشَّرِّ أَنْ يَحْقِرَ أَخاهُ المسلم»    رواه الترمذيُّ وقال : حديث حسن


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu  Amesema: [Muislamu ni ndugu ya Muislamu, hamfanyii khiyana wala hamdanganyi wala haachi kumnusuru. Kila Muislamu juu ya Muislamu ni haramu (kumvunjia) heshima chake, Mali yake na damu yake. Ucha Mungu iko hapa, (akashiria kifua chake) inatosha kwa mtu kuwa katika shari kumdharau ndugu yake Muislamu.]   [Imepokewa na At Tirmidhiy na amesema ni Hadithi Hasan]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668275
TodayToday963
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 14

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866ce8bd53255464838491751568011
title_6866ce8bd541513564603311751568011
title_6866ce8bd54f419966364161751568011

NISHATI ZA OFISI

title_6866ce8bd6ac015719263111751568011
title_6866ce8bd6baf6511022621751568011
title_6866ce8bd6c8e3356643871751568011 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com