BUSTANI YA WATU WEMA
وعن جرير بن عبد اللَّه رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ لا يرْحَم النَّاس لا يرْحمْهُ اللَّه » متفقٌ عليه
Kutoka kwa ‘Jariyr bin ‘Abdillah (Radhi za Allah ziwe juu yake) Amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Asiye wahurumia watu, hatarehemewa na Mwenyezi mungu] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1168 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.