Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي أُمَامةَ إِيَاسِ بنِ ثعْلَبَةَ الْحَارِثِيِّ رضي اللَّه عنه أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « مَنِ اقْتَطَعَ حَقَّ امْريءٍ مُسْلمٍ بيَمِينِهِ فَقدْ أَوْجَبَ اللَّه لَه النَّارَ ، وَحَرَّمَ عَلَيْهِ الْجَنَّةَ » فقال رجُلٌ : وإِنْ كَانَ شَيْئاً يسِيراً يا رسولَ اللَّه ؟ فقال : « وإِنْ قَضِيباً مِنْ أَرَاكٍ »  رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Umaamah Iyaas bin Tha’labah Al-Haarithiy Radhi za Allah ziwe juu yake  kwamba Mtume ﷺ amesema: [Mwenye kuchukua haki ya mtu Muislamu kwa kuapa kiapo cha urongo imewajibika kwa Mwenyezi Mungu kumuingiza motoni na kumharamishia Pepo.] Mtu mmoja akasema: “Hata kikiwa kitu kidogo Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema: [Hata kikiwa ni kipande cha Msuwaki.]    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 117

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a7c5e4f16243956391791549863
title_6ac8e1a7c5ea015379271141791549863
title_6ac8e1a7c5eee3535893451791549863

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a7c65a79413968891791549863
title_6ac8e1a7c66064829820741791549863
title_6ac8e1a7c666210708045741791549863 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com